From Invitations to
Tickets,
We Make Events Effortless
Explore Our Events
Mdahalo wa Vijana 2026 ni jukwaa maalum linalowakutanisha vijana, wataalamu, viongozi, na wadau mbalimbali kwa lengo la kujadili nafasi ya fikra na mtazamo katika kuchochea maendeleo ya kijana. Tukio hili linalenga kuibua mjadala wa kina kuhusu namna ambavyo mitazamo, maamuzi, na fikra za vijana zinavyoathiri mafanikio yao binafsi pamoja na mchango wao katika maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla.Kupitia mdahalo huu, washiriki watapata fursa ya:Kujifunza kutoka kwa wazungumzaji na vijana waliopitia safari mbalimbali za mafanikio.Kubadilishana mawazo na uzoefu kuhusu changamoto na fursa zinazowakabili vijana.Kujenga mitandao (network) na wadau kutoka sekta tofauti.Kuhamasishwa kuchukua hatua chanya katika maisha yao ya kila siku. Tukio hili pia litapambwa na uwepo wa wageni waalikwa kutoka maeneo mbalimbali, akiwemo Mgeni Rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mheshimiwa Kheri James. Mdahalo utafanyika tarehe 15 Mei 2026 katika Ukumbi wa Science Block, Chuo Kikuu cha Iringa. Vijana wote wanakaribishwa kushiriki kikamilifu katika mjadala huu muhimu unaolenga kuchochea mabadiliko ya fikra kuelekea maendeleo endelevu.
Iringa Night Fun Run ni tukio la kipekee la michezo linalofanyika nyakati za usiku katika mitaa ya kihistoria ya mji wa Iringa. Mbio hizi hazilengi tu mashindano ya kasi, bali zimejikita zaidi katika kuhamasisha na kudumisha amani ndani ya mkoa wetu na taifa la Tanzania kwa ujumla. Malengo ya Tukio Hili:Umoja na Ushirikiano: Tunalenga kuwakutanisha wadau mbalimbali, kuanzia viongozi, wafanyabiashara, vijana, na wageni kutoka nje ya mkoa ili kujenga mtandao wa kijamii wenye tija.Afya na Burudani: Kupitia mazoezi haya ya usiku, tunahimiza mtindo bora wa maisha na kupunguza msongo wa mawazo kwa njia ya furaha na burudani.Kutangaza Utalii wa Iringa: Kukimbia usiku kunatoa fursa kwa washiriki kuuona mji wa Iringa katika mwanga wa tofauti, huku wakifurahia hali ya hewa tulivu na mandhari nzuri. Kushiriki ni Bure!Kwa kutambua umuhimu wa amani na mshikamano, kwa sasa mbio hizi zinafanywa bure kabisa. Hii ni fursa kwa kila mkazi wa Iringa na mgeni yeyote kushiriki bila kikwazo cha gharama, ili sote kwa pamoja tutoe tamko la amani kupitia michezo.
Join us for Season 2 of the Wheels of Change Gala, a night of inspiration, impact, and transformation. Hosted by ABC Impact, this gala is more than just an event—it’s a movement dedicated to empowering students in rural Tanzania through bicycle mobility. 🚴 Over the past three years, we've helped over 3,000 students access education by providing them with bicycles, breaking barriers to learning and opportunity. This year, we're on a mission to raise funds for 300 more bicycles for students in need — and your support can help turn that goal into reality.✨ What to Expect:✅ Inspiring impact stories✅ Exclusive networking with change-makers✅ Exciting auctions & fundraising activities✅ A night of fine dining and entertainment 🎟 Reserve Your Spot Now! Tickets and sponsorship opportunities are available—be part of the change.Your action today shapes their future tomorrow.
Explore Categories
Our Ticketing Game:
What Sets Us Apart!
Welcome to the gateway of seamless event ticketing, where every entry becomes a masterpiece and every attendee journey is a work of art.
Effortless Booking Process
Experience a seamless booking process ensuring attendees secure their spot with just a few clicks.
Customization for Success
Whether it's VIP packages, early-bird discounts, or exclusive access, We support extensive personalization for your tickets
Memorable Experiences Beyond Entry
From personalized ticket designs, we elevate the entire event experience from the moment attendees purchase their tickets
Tymtalk Features
Step into the future of event experiences with Tymtalk
Streamlined and secure payment process ensures a hassle free transaction every time.
Enabling individuals to secure their tickets conveniently, regardless of their distance from the event.
Enjoy the flexibility to craft a diverse range of tickets tailored to various packages
We offer a free scanner for the unique QR codes on each ticket, enhancing the security measures for your event.
Experience top-notch quality printing with Tymtalk, ensuring that every ticket is a visual delight.
Get your ticket delivered straight to your WhatsApp for ultimate convenience and instant access.
How Does It Work
Discover the seamless journey of Tymtalk, we've redefined how event tickets work
Our Clients
Grateful for our esteemed clients who have trusted us to turn their events into extraordinary experiences.