Event Details/
May
15

Mdahalo wa Vijana 2026 - "Je, Maendeleo ya Kijana Huanza na Fikra Zake?"

Fri, 15th May 2026
08:00 AM
University of Iringa - Science Block Ground Floor

Conferences

Description

Mdahalo wa Vijana 2026 ni jukwaa maalum linalowakutanisha vijana, wataalamu, viongozi, na wadau mbalimbali kwa lengo la kujadili nafasi ya fikra na mtazamo katika kuchochea maendeleo ya kijana. Tukio hili linalenga kuibua mjadala wa kina kuhusu namna ambavyo mitazamo, maamuzi, na fikra za vijana zinavyoathiri mafanikio yao binafsi pamoja na mchango wao katika maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla.


Kupitia mdahalo huu, washiriki watapata fursa ya:

  • Kujifunza kutoka kwa wazungumzaji na vijana waliopitia safari mbalimbali za mafanikio.
    Kubadilishana mawazo na uzoefu kuhusu changamoto na fursa zinazowakabili vijana.
    Kujenga mitandao (network) na wadau kutoka sekta tofauti.
    Kuhamasishwa kuchukua hatua chanya katika maisha yao ya kila siku.
     

Tukio hili pia litapambwa na uwepo wa wageni waalikwa kutoka maeneo mbalimbali, akiwemo Mgeni Rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mheshimiwa Kheri James.
 

Mdahalo utafanyika tarehe 15 Mei 2026 katika Ukumbi wa Science Block, Chuo Kikuu cha Iringa. Vijana wote wanakaribishwa kushiriki kikamilifu katika mjadala huu muhimu unaolenga kuchochea mabadiliko ya fikra kuelekea maendeleo endelevu.

Partners & Sponsors

Event Starts In


Days
Hours
Minutes
Seconds

Organized By


UoI Psychology Club
University of Iringa - Science Block Ground Floor

Select Tickets


Free Tsh 0/- Available: 199
Total Price: Tsh 0

Related Events

Testing Ordering and Payment
16 Jan
0hr 0min
23:26 PM
By Hugo Domingo Testing Ordering and Payment

This is to test the Ordering and payment part


Mlimani City Events Hall
Free
New Year Eve - Part Two
30 Mar
2hr 0min
13:01 PM
By CIPESA New Year Eve - Part Two

Lorem ipsum odor amet, consectetuer adipiscing elit. Congue elit tellus blandit urna mauris. Nulla phasellus netus cras; imperdiet phasellus torquent. Luctus scelerisque vivamus penatibus bibendum lectus nunc? Leo aenean in netus, natoque aptent vehicula massa. Potenti mattis finibus nisi aliquet fusce pellentesque ridiculus quam diam. Iaculis hendrerit accumsan montes cursus ad nunc iaculis.


PSSSF Tower
Free

© 2026 Tymtalk Corporation Ltd

Dar Es Salaam, Tanzania