Event Details/
New Year Eve - Part Two
Conferences
Description
Lorem ipsum odor amet, consectetuer adipiscing elit. Congue elit tellus blandit urna mauris. Nulla phasellus netus cras; imperdiet phasellus torquent. Luctus scelerisque vivamus penatibus bibendum lectus nunc? Leo aenean in netus, natoque aptent vehicula massa. Potenti mattis finibus nisi aliquet fusce pellentesque ridiculus quam diam. Iaculis hendrerit accumsan montes cursus ad nunc iaculis.
Event Starts In
Organized By
CIPESA
Select Tickets
Related Events
Mdahalo wa Vijana 2026 ni jukwaa maalum linalowakutanisha vijana, wataalamu, viongozi, na wadau mbalimbali kwa lengo la kujadili nafasi ya fikra na mtazamo katika kuchochea maendeleo ya kijana. Tukio hili linalenga kuibua mjadala wa kina kuhusu namna ambavyo mitazamo, maamuzi, na fikra za vijana zinavyoathiri mafanikio yao binafsi pamoja na mchango wao katika maendeleo ya jamii na taifa kwa ujumla.Kupitia mdahalo huu, washiriki watapata fursa ya:Kujifunza kutoka kwa wazungumzaji na vijana waliopitia safari mbalimbali za mafanikio.Kubadilishana mawazo na uzoefu kuhusu changamoto na fursa zinazowakabili vijana.Kujenga mitandao (network) na wadau kutoka sekta tofauti.Kuhamasishwa kuchukua hatua chanya katika maisha yao ya kila siku. Tukio hili pia litapambwa na uwepo wa wageni waalikwa kutoka maeneo mbalimbali, akiwemo Mgeni Rasmi, Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Mheshimiwa Kheri James. Mdahalo utafanyika tarehe 15 Mei 2026 katika Ukumbi wa Science Block, Chuo Kikuu cha Iringa. Vijana wote wanakaribishwa kushiriki kikamilifu katika mjadala huu muhimu unaolenga kuchochea mabadiliko ya fikra kuelekea maendeleo endelevu.